Friday, July 1, 2011

Warembo na Mambo ya kwenda na wakati

Tanzania ni moja katika nchi zilizo 
katika wakati mgumu wa kulekebisha maadili kutokana na baadhi ya vijana kufanya mambo ya siofaa.

Habari za muda huu
Wasomaji wa blog yetu .
Leo na penda kushea na nyinyi swala moja muhimu sana katika siasa yetu ya hapa Tanzania
Swala   lenyewe lina husu
Je ? Mahakama ilikuwa sahii kutoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa  kambi ya
Upinzani Bungeni
Bw; Freman Mbowe